Viatu Vya Ngozi
Thursday, October 31, 2013
Monday, October 7, 2013
Aina mbalimbali ya viatu vya ngozi
Hii ni ngozi halisi kutoka hapa hapa Tanzania
Tazama kulia hiyo ni ngozi tunayo tumia.
Morris Ndiho akielezea jinsi viatu hivyo vinavyotengenezwa
Viatu vya wanafunzi
Pia tunatengeneza viatu vya wanafunzi. Viatu vyetu vipo katika hali ya juu sana. changia uchumi wa nchi yako kwa kununua viatu kutoka katika kiwanda chetu.
Kiwanda cha viatu katika wilaya ya Sengerema
Kiwanda chetu kilifunguliwa 24/08/2012 na kingozi wa mwenge.katika sherehe hizo viongozi mbalimbali wa serikali walikuwepo mkuu wa wilaya hiyo,mheshimiwa William Ngereja mbunge wa jimbo la Sengerema,mwenyekiti wa halmashauri hiyo na msimamizi wa kiwanda hicho Morris Ndiho.
Picha ya pamoja ya viongozi wa serikali na wafanyakazi wa kiwanda.
Kiongozi wa mwenge kulia na Morris Ndiho kushoto wakati wa Uzinduzi.
William Ngereja nae alikuwepo.Viatu vipya vya ngozi hapa nchini kwetu
Hapa Tanzania katika wiliya ya Sengerema tunatengeneza viatu vya ngozi, mikoba, sofa, jaketi, pochi, cover za biblia na vingine vingi.
Sunday, October 6, 2013
Viatu vya ngozi kwa bei nafuu
Hivi ni viatu vya ngozi vinavyotengenezwa katika wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza. Hivi ni viatu vinavyotengenezwa kwa ngozi inayozalishwa hapa hapa nchini.
Subscribe to:
Posts (Atom)