Kiwanda chetu kilifunguliwa 24/08/2012 na kingozi wa mwenge.katika sherehe hizo viongozi mbalimbali wa serikali walikuwepo mkuu wa wilaya hiyo,mheshimiwa William Ngereja mbunge wa jimbo la Sengerema,mwenyekiti wa halmashauri hiyo na msimamizi wa kiwanda hicho Morris Ndiho.
Kiongozi wa mwenge kulia na Morris Ndiho kushoto wakati wa Uzinduzi.
William Ngereja nae alikuwepo.
Picha ya pamoja ya viongozi wa serikali na wafanyakazi wa kiwanda.
No comments:
Post a Comment