Viatu Vya Ngozi

Monday, October 7, 2013

Neema Group Sengerema


Mikanda ya ngozi

                                 Hiyo hapokatikati ni mikanda ya ngozi inayotengenezwa hapo

Aina mbalimbali ya viatu vya ngozi


Hii ni ngozi halisi kutoka hapa hapa Tanzania
                                   
                                       Tazama kulia hiyo ni ngozi tunayo tumia.
Morris Ndiho akielezea jinsi viatu hivyo vinavyotengenezwa

Mheshimiwa William Ngereja Anunua mkoba kunyanyua wajasiriamali

                                                 Mheshimiwa Ngeleja akiulizia bei ya handbag

Masai shoes pia zinapatikana

Angalia hapa viatu hivi tunavyotengeneza.
Maasai shoes for mens.  
Black and White Medallion Thongs Size 6.5

Viatu vya wanafunzi

Pia tunatengeneza viatu vya wanafunzi. Viatu vyetu vipo katika hali ya juu sana. changia uchumi wa nchi yako kwa kununua viatu kutoka katika kiwanda chetu.

Kiwanda cha viatu katika wilaya ya Sengerema

Kiwanda chetu kilifunguliwa 24/08/2012 na kingozi wa mwenge.katika sherehe hizo viongozi mbalimbali wa serikali walikuwepo mkuu wa wilaya hiyo,mheshimiwa William Ngereja mbunge wa jimbo la Sengerema,mwenyekiti wa halmashauri hiyo na msimamizi wa kiwanda hicho Morris Ndiho.
Kiongozi wa mwenge kulia na Morris Ndiho kushoto wakati wa Uzinduzi.
                         William Ngereja nae alikuwepo.

                           Picha ya pamoja ya viongozi wa serikali na wafanyakazi wa kiwanda.


Viatu vipya vya ngozi hapa nchini kwetu

Hapa Tanzania katika wiliya ya Sengerema tunatengeneza viatu vya ngozi, mikoba, sofa, jaketi, pochi, cover za biblia na vingine vingi.

Sunday, October 6, 2013

Viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Hivi ni viatu vya ngozi vinavyotengenezwa katika wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza. Hivi ni viatu vinavyotengenezwa kwa ngozi inayozalishwa hapa hapa nchini.